Our Father, who art in heaven,
hallowed be thy name;
thy kingdom come,
thy will be done,
on earth as it is in heaven.
Give us this day, our daily bread,
and forgive us our trespasses
as we forgive those who trespass against us.
And lead us not into temptation,
but deliver us from evil.
Amen.

Baba Yetu uliye mbinguni,
jina lako litukuzwe;
ufalme wako ufike,
utakalo lifanyike 
duniani kama mbinguni.
Utupe leo mkate wetu wa kila siku,
utusamehe makosa yetu,
kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.
Usitutie katika kishawishi,
lakini utuopoe maovuni.
Amina.